Na mwandishi wetu
Mahakama Kuu imeipiga marufuku bodi ya wadhamini ya Prof Ibrahim Lipumba kufanya shughuli zozote zinazoihusu chama cha CUF hadi hapo shauri la msingi litakapomalizika.
I
Profesa Ibrahim Lipumba, kushoto na Maalim Seif Sharif (kulia)
Uamuzi huo umetolewa leo jijini Dar es salaam na jaji wa mahakama hiyo, Wilfred Dyansobera.
Katika shauri la msingi lililowasilishwa na CUF ya Maalim Seif ilitaka bodi hiyo isitambuliwe kwa kuwa si halali na kwamba bodi halali ya chama hicho ipo na ilipatikana na kwa mujibu wa katiba ya CUf
No comments:
Post a Comment