CHAMBERLAIN ALIVYOTUA LIVERPOOL - WINGU LA HABARI- ONLINE

Breaking

TANGAZO

TANGAZO
Sugar free

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, August 31, 2017

CHAMBERLAIN ALIVYOTUA LIVERPOOL

WINGU LA HABARI


Alex Oxlade-Chamberlain ametua Liverpool kwa kitita cha pauni million 35 akiwa anaiacha Arsenal siku chache baada ya kupigwa 4-0 na majogoo hao.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 24, ilionekana kama ataenda Chelsea ili abaci London, akatoa nje na pia akasisitiza kuondoka Arsenal.

Sasa kasaini miaka mitano Liverpool na atakuwa akilamba mshahara wa pauni 120,000 kila wiki.


Angalia taswira zake baada ya kutua Liverpool.








No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here