DIRISHA LIKIFUNGWA, EVERTON WAONGEZA NGUVU TENA KIKOSINI - WINGU LA HABARI- ONLINE

Breaking

TANGAZO

TANGAZO
Sugar free

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, August 31, 2017

DIRISHA LIKIFUNGWA, EVERTON WAONGEZA NGUVU TENA KIKOSINI


Everton inayodhaminiwa na SportPesa imefanikiwa kuongeza nguvu katika kikosi chake baada ya kumsajili mchezaji wa kimataifa wa Croatia airway Nikola Vlasic.

Viasic ametokea katika kikosi cha Hadjuk na amesaini mkataba wa miaka mitano kwa pauni million 8.

Kiraka huyo ambaye ni kinda wa umri wa miaka 19 amejiunga na kikosi cha Kocha Ronald Koeman kinachoendelea kujipanga kufanya vizuri Ligi Kuu England na pia Europa League.



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here