EPL INAENDELEA KUTIMUA VUMBI LEO. - WINGU LA HABARI- ONLINE

Breaking

TANGAZO

TANGAZO
Sugar free

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, December 12, 2015

EPL INAENDELEA KUTIMUA VUMBI LEO.

Ligi kuu ya soka inchi England inatarajia kuendelea kutimua vumbi  wikendi hii katika viwanja mbalimbali , kwa kuanza kushuudia mchezo wa mapema Jumamosi  kati ya Norwich na Everton.


Michezo mengine ni pamoja na Crystal Palace watakuwa wenyeji wa Southampton, Man City watawaalika Swansea City, Sunderland watawakaribisha Watford, West Ham United itakuwa nyumbani dhidi ya Stoke city, na Bournemouth wataikabili Man United.
Ligi hiyo  itaendelea Jumapiliya kesho kwa michezo mitatu ambapo Aston Villa watakuwa wenyeji dhidi ya Arsenal, Liverpool watakuwa nyumbani Anfield dhidi ya West Brom, na Tottenham watawaalika Newcastle United.
Ratiba kamili ndiyo hii hapa (Saa za Afrika Mashariki):
§  Jumamosi 12 Desemba 2015
§  Norwich v Everton 15:45
§  Crystal Palace v Southampton 18:00
§  Man City v Swansea 18:00
§  Sunderland v Watford 18:00
§  West Ham v Stoke 18:00
§  Bournemouth v Man Utd 20:30
Jumapili 13 Desemba 2015
§  Aston Villa v Arsenal 16:30
§  Liverpool v West Brom 19:00
§  Tottenham v Newcastle 19:00
Jumatatu 14 Desemba 2015
§  Leicester v Chelsea 23:00


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here