Mourinho Kuboresha kikosi chake. - WINGU LA HABARI- ONLINE

Breaking

TANGAZO

TANGAZO
Sugar free

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, November 28, 2015

Mourinho Kuboresha kikosi chake.

Kocha wa klabu ya soka ya Chelsea Jose Mourinho amesema bado hajaketi kuzungumza na wakurugenzi wa bodi ya klabu hiyo juu ya  usajili mwingine mwingine wa January mwakani ndani ya klabu hiyo.

 Mourinho amesema anachokifanya kwa sasa ni kuhakikisha anakiboresha kikosi chake katika kipindi hiki ambacho kwao ni kigumu.

Mabingwa hao watetezi wa ligi kuu soka nchini Uingereza wanahusishwa na usajili wa majira ya baridi mwakani kwa wachezaji wa Atletico Madrid’s Antoine Griezmann, Harry Kane na Jamie Vardy.


“Tupo mwezi Novemba hivi sasa  na tunachokitazama kwa sasa ni kufanya kazi nzuri kadri tunavyoweza na hatujaongea bado na bodi juu ya kuongeza wachezaji wengine ndani ya klabu hii",Alisema Mourinho

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here