Kikosi cha timu ya soka ya Tanzania Bara ‘Kilamanjaro
Stars’ leo inashuka dimbani katika hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la
Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge kukipiga na na wenyeji wa
michuano hiyo timu ya Ethiopia.
Kilimanjaro StarsKili Stars inashuka katika mchezo huo wa
kukamilisha ratiba ya makundi baada ya kuanza vyema katika michezo yake miwili
ya michuano hiyo.na kujihakikishia hatua ya kuingia robo fainali.
Kilimanjaro Stars imeingia robo fainali baada baada
kuwatandika timu ya Somali mabao 4-0 na kuitandika timu ya Rwanda mabao 2-1
katika michezo yake hiyo miwili ya mwanzo.
No comments:
Post a Comment