Polisi nchini ufaransa wanasema
magari yote hayo mawili yaligongana katika barabara moja ya mtaa wa Puissguin, kusini
magharibi ya Ufaransa na kuripuka,
hivyo wahanga 41 ambao walikuwa
wazee waliokuwa wamejiandaa kwenda matembezi.
Hata hivyo Dereva wa gari la mizigo lililokuwa limesheheni
mbao,nae amefariki na Watu wanane wamefanikiwa kuyanusuru maisha yao-watano
kati yao wamejeruhiwa katika ajali hiyo.
Kufatia ajali hiyo Mtumishi wa
serikali ya mji huko Puisseguin amesema ajali hiyo imetokea leo katika eneo
linalojulikana kuwa ni la hatari, na kubainisha kuwa ajali kama hiyo iliwai
kutokea miaka 30 iliyopita nchini humo.

No comments:
Post a Comment