Taarifa zimeeleza, kamati hiyo itatoa majibu kesho kwa bodi ya
jiji la Mbeya na baada ya hapo utaelezwa uamuzi wake.
Tayari shirikisho la mpira wa miguu TFF imetoa adhabu kali ya miaka miwili
kutocheza soka na faini ya Sh milioni mbili kwa Nyosso.
Lakini ajabu, pamoja na kuonekana kwenye picha akifanya jambo
hilo, Nyosso ameanzisha kampeni za kukana jambo hilo.
Nyosso amekuwa akidai hakumbuki kufanya hivyo tena akinadai
teknolojia inaweza ikawa inamhukumu.

No comments:
Post a Comment