Idadi ya mauzo katika
soko la hissa (DC) imeshuka kutoka bilioni 12.2
kwa wiki iliyopita hadi kufikia bilioni 8. 5 kwa wiki hii.
Akizungumza na Wingu la habari Meneja wa soko hilo Patric Mususa
amesema kuwa pia
idadi ya hissa zilizonunuliwa na kuuzwa katika soko kwa ujumla zimepata
kutoka milioni 9.1 hadi kufika hadi kufukia milioni 14.
Kampuni tatu zinazoongoza katika soko hisa zake kununuliwa na kuuzwa ni pamoja na Baki
ya CRDB inayoongoza kwa 97%, TBL 1.28%
NMB baki 0.61%.
Sanjali na hayo idadi ya mtaji wa soko imeshuka kutoka kutoka
trilioni 21.8 hadi trilioni 21.1, wakati mtaji wa makapuni ya ndani imeshuka kutoka
trilioni 9.8 hadi kifikia trilioni 9.7
Pia kampuni mbili
zimeongoza katika ongezeko la bei ya hisa zake ambazo ni KKC baki imaongoza kwa
2.2%, NATION MEDIA GROUP NMG kwa asilimia moja
.
Kiashiria cha soko kimeshuka kwa point 77 kikiwa kimeshangiwa
na punguzo la bei katika kampuni
mbalimbali ikiwemo , simba cement pamoja
na twiga cement.
Kiashiria katika sekta
ya viwanda kimeshuka kwa point 33 kikiwa kimechangiwa na punguzo bei kwenye
kaunta ya twiga cement kwa 0.89% pamoja
simba cement kwa asilimia 14.86.
Wakati kiashiria cha sekta ya huduma za kibenki na kifedha
kimeshuka kwa nukta 27 kikiwa kimechangiwa na punguzo la bei ya katika kaunta
ya DCB baki kwa asilimia 2.56 na NMB kwa
asilimia 1.4,
na kiashiria cha sekta
ya huduma za kibiashara kimeshuka kwa nukta 37 kikiwa kimechangiwa na punguzo
la bei ya hisa SWISSPORT kwa hisa asilimia 1.22.
Mususa amebainisha kuwa huduma ya kununua na kuuza hisa kwa
njia ya simu ya mkononi inaendelea vizuri mpaka muda huu kuna idadi ya watu Zaidi 800
wanaendelea kufaidia na huduma hiyo .
,nakuwataka wamnchi kuendelea kutumia huduma hiyo kwa kupiga
*150*36#.
No comments:
Post a Comment