SHUGHULI ZA UMOJA WA MATAIFA ZIPO HATARINI MASHARIKI MWA UKRAINE, MH STEPHENO O'BRIEN ASEMA NI UKIUKAJI WA SHERIA. - WINGU LA HABARI- ONLINE

Breaking

TANGAZO

TANGAZO
Sugar free

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, September 25, 2015

SHUGHULI ZA UMOJA WA MATAIFA ZIPO HATARINI MASHARIKI MWA UKRAINE, MH STEPHENO O'BRIEN ASEMA NI UKIUKAJI WA SHERIA.

Mkuu wa umoja wa Mtaifa wa utoaji wa misaada ya binadam
Stephen O'Brien akiwa katika  majukumu  yake ya kikazi.

















Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na utoaji wa misaada ya kibinadamu Stephen O'Brien anasema ameshtushwa sana kwamba mashirika ya umoja huo yameamriwa kuondoka eneo la Luhansk mashariki ya Ukraine kufikia leo na viongozi wa eneo hilo.

O'Brien  alisema mashirika mengine yasiyo ya kiserikali, likiwemo shirika la Madaktari wasio na Mipaka, yametakiwa yaondoke Luhansk kufikia sept 26 mwaka.

Afisa huyo wa Umoja wa Mataifa amesema agizo hilo ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.

Aidha O'Brien alisema sera ya waasi inahatarisha maisha,  huenda ikawaathiri watu zaidi ya milioni 3 kwa kuzingatia msimu wa baridi ukikaribia.


amesema operesheni za Umoja wa Mataifa katika eneo la Donetsk mashariki ya Ukraine ziko hatarini kwa sababu shughuli za mashirika yote ya umoja huo zimesitishwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here