Lakini binafsi nawatakia
sikukuu njema wasomaji wote wa WINGU LA HABARI walio Tanzania na nje ya mipaka
ya Tanzania.
Nawakaribisha wengine ili muweze kuhabarika katika masuala
mbalimbali ya kisiasa, elimu, uchumi,
pamoja na michezona burudani kwa mbaali.
Kwa
mara nyingine, kwa pamoja, natawatakia SIKUKUU NJEMA YA EID.
WINGU LA HABARI

No comments:
Post a Comment