Muonekano wa Hotel ya Peacock iliyopo Jijini Dar es Salaam
Uongozi wa Hotel ya Peacock imeiomba serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania kuwaunga mkono wadau wa sekta hiyo katika kuimarisha utalii wa Tanzania ili kuliletea maendeleo kwa taifa.
Akizungumza katika uzinduzi wa miaka 25 na Mkurugenzi wa Hotel ya Peacock Hoter Daniel Mfugalo amesema kuwa ni vyema kuimarisha miundombinu ili kuweza kuwavutia watalii kuweza kuingia nchini.
Naye Joseph Mfugalo ameahidi kuendeleza zana na mifumo mbalimbali pamoja na kubuni mbinu katika kuwavutia wateja na kuhakikisha wanapata huduma bora.
No comments:
Post a Comment