SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI . - WINGU LA HABARI- ONLINE

Breaking

TANGAZO

TANGAZO
Sugar free

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, November 22, 2017

SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI .



 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akimkaribisha Balozi wa Oman nchini Ali A.Al Mahruqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
SP1b:  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akifurahia jambo na Balozi wa Oman nchini Ali A.Al Mahruqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Oman nchini Mhe. Ali A. Al Mahruqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akiteta jambo na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
SP2c: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akiagana na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter mara baada ya kumaliza mazungumzo yao leo Jijini Dar es Salaam.
  Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akipeana mikono na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter mara baada ya kumaliza mazungumzo yao leo Jijini Dar es Salaam.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al- Najem alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akiteta akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al- Najem alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akipokea barua ya Spika wa Bunge la Kuwait kutoka kwa Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al- Najem alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.(Picha na: Frank Shija – MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here