Klabu ya Azam FC, imeongeza nguvu katika safu yake ya ushambulizi baada ya kumsajili mshambuliaji Bernard Arthur kutoka nchini Ghana. Arthur alikuwa mshambuliaji tegemeo wa Liberty Professional ya Ghana, timu iliyomkuza Michael Essien na kipa wa zamani wa Yanga, Yaw Berko.
No comments:
Post a Comment