MENEJA WA LIVERPOOL ATUPIWA VIRAGO. - WINGU LA HABARI- ONLINE

Breaking

TANGAZO

TANGAZO
Sugar free

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, October 4, 2015

MENEJA WA LIVERPOOL ATUPIWA VIRAGO.

Meneja wa Liverpool Brendan Rodgers.









Meneja wa Liverpool Brendan Rodgers ametupiwa virago baada ya kukubali sare ya 1-1 dhidi ya Everton katika mchezo wa leo wa ligi kuu ya England.

Matokeo hayo yamekuwa mabaya kwake kwani ameshinda  mchezo mmoja tu kati ya michezo tisa msimu huu akiwa katika uwanja wa Anfield.

Rodgers aliteuliwa mwezi Juni mwaka 2012 kuiongoza Liverpool nakumaliza nafasi ya pili katika Ligi Kuu ya england msimu uliopita akiwa  nyuma ya Manchester City .

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here