WATANZANIA WAOMBWA KUCHANGIA DAMU - WINGU LA HABARI- ONLINE

Breaking

TANGAZO

TANGAZO
Sugar free

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, November 27, 2017

WATANZANIA WAOMBWA KUCHANGIA DAMU


Wito umetolea kwa watanzania kuchangia damu ili kusaidia kuokoa maisha ya watanzania wenye uhitaji wa damu katika hospitali zetu

Wito huo umetolewa na mkurugenzi mtendaji wa amaana benki muksin salimu Katika kuadhimisha miaka 6 ya benki ya hiyo,  ambapo wafanyaKazi wa benki hiyo wamefanya zoezi la uchangiaj i Damu  kwa lengo la kuokoa maisha ya wahitaji Damu waliopo hospitalini.

Aidha amesema kuwa zoezi la  uchangiaji limefanyika katika matawi yote ya benki yaliyopo dar es salaam, mwanza na arusha yameshiriki zoezi hilo ambapo matarajio ni kuchangia chupa za Damu zaidi ya mia moja.

Naye afisa wa muhamasishaji Marium juma  kutoka mpango wa taifa wa Damu salama kanda ya mashariki amebainisha kuwa bado kuna uhaba mkubwa wa upatikanaji wa Damu salama hospitalini kwani Damu iliyopo haikidhi mahitaji ya mwaka kwa matibabu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here