Akitoa taarifa ya mauzo ya hisa leo, Ofisa Mwandamizi wa Masoko ya hisa Dar es Salaam (DSE) Mary Kinabo, amesema kuwa punguzo hilo limetokana uzo la mora moja la ununuzi wa hisa za kampuni ya TBL kwa kampuni tanzu ya SABMiller
Amesema kuwa idadi ya hisa zilizouzwa na kununuliwa zimepungua kutoka hisa Mil 9 ya wiki iliyoishia 10 Novemba 2017 hadi hisa Mil 5.5 ya wiki iliyoishia 17 Novemba 2017.
Kinabo amebainisha kuwa kampuni zilizoongoza katika mauzo ya hisa ni pamoja na benki ya CRDB ..86%, TBL..5%, DSE..4%
Ukubwa Mtaji (Market
Capitalization)
Ukubwa wa mtaji wa
kampuni zote zilizoorodheshwa katika soko umepungua kwa Shilingi Bilioni 412 kutoka
Shilingi Trilioni 20.8 wiki iliyopita hadi Shilingi Trilioni 20.3 wiki iliyoishia tarehe 17 Novemba 2017. Punguzo
hilo limetokana na kushuka kwa bei za hisa za KA (8%), DSE (7%), KCB (6%), CRDB
(6%), NMG (5%), na EABL (4%).
Ukubwa wa mtaji wa
kampuni za ndani umeshuka kwa Shilingi Bilioni 28 kutoka Trilioni 10.08 hadi
kafika Shilingi Trilioni 10.05 wiki hii. Hii ni kutokana na kushuka kwa bei ya
hisa ya DSE (7%) na CRDB (6%).
Kampuni
|
17
November 2017 (Shilingi)
|
10
November 2017 (Shilingi)
|
Badiliko
(%)
|
CRDB
|
150
|
160
|
-6.25%
|
DCB
|
385
|
385
|
0.00%
|
DSE PLC
|
1,140
|
1,220
|
-6.56%
|
MBP
|
600
|
600
|
0.00%
|
MCB
|
500
|
500
|
0.00%
|
MKCB
|
890
|
890
|
0.00%
|
MUCOBA
|
400
|
400
|
0.00%
|
NMB
|
2,750
|
2,750
|
0.00%
|
PAL
|
470
|
470
|
0.00%
|
SWALA
|
500
|
500
|
0.00%
|
SWIS
|
3,500
|
3,500
|
0.00%
|
TBL
|
13,300
|
13,300
|
0.00%
|
TCC
|
16,800
|
16,800
|
0.00%
|
TCCL
|
1,200
|
1,200
|
0.00%
|
TOL
|
780
|
780
|
0.00%
|
TPCC
|
1,520
|
1,520
|
0.00%
|
TTP
|
600
|
600
|
0.00%
|
VODA
|
850
|
850
|
0.00%
|
YETU
|
600
|
600
|
0.00%
|
Kampuni
zilirodho
dheshwa |
|||
ACA
|
5,280
|
5,240
|
0.76%
|
EABL
|
5,170
|
5,410
|
-4.44%
|
JHL
|
10,650
|
10,420
|
2.21%
|
KA
|
110
|
120
|
-8.33%
|
KCB
|
880
|
940
|
-6.38%
|
NMG
|
2,460
|
2,590
|
-5.02%
|
USL
|
80
|
80
|
0.00%
|
Mtaji
Jumla Makampuni yote (Bilioni)
|
20,349
|
20,752
|
-1.94%
|
Mtaji
Jumla Makampuni ya Ndani (Bilioni)
|
10,052
|
10,081
|
-0.29%
|
Kiashiria
cha DSEI (pointi)
|
2,113
|
2,155
|
-1.95%
|
Kiashiria
cha TSI (pointi)
|
3,834
|
3,845
|
-0.29%
|
Viashiria (Indices)
Kiashiria cha kampuni
zote zilizoorodheshwa katika soko yaani DSEI kimepungua kwa pointi 42 kutoka
pointi 2,154 hadi 2,113 pointi hii ikiwa ni kutokana na kushuka kwa bei za hisa
za Kenya Commercial Bank (KCB), National Media Group (NMG), Kenya Airways (KA),
CRDB Bank (CRDB) na Dar es Salaam Stock Exchange Plc (DSE).
Pia kishiria cha
kampuni za ndani yaani TSI kimepungua kwa pointi 11 kutoka pointi 3,845 hadi pointi
3,845 kutokana na kushuka kwa bei za hisa za TBL.
Kiashiria cha sekta
ya viwanda (IA) wiki hii imebaki kama awali kwenye wastani wa pointi 5,329
Kiashiria huduma za
kibenki na kifedha (BI) kimeshuka kwa pointi 36 kutoka pointi 2,464 hadi pointi
2428.
Kiashiria cha Sekta
ya huduma za kibiashara (CS) wiki hii imebaki kama
awali kwenye wastani wa pointi 2,462
Hati Fungani (Bonds)
Mauzo ya hati fungani katika wiki iliyoishia tarehe
17 Novemba 2017 yalikuwa Shilingi Bilioni 3.14 kutoka Shilingi Bilioni 11.2 wiki
iliyopita ya 10 Novemba 2017
Mauzo haya yalitokana na hatifungani tatu (3) za
serikali zenye jumla ya thamani ya Shilingi Bilioni 3.6 kwa jumla ya gharama ya
Shilingi Bilioni 3.14
No comments:
Post a Comment