TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA - WINGU LA HABARI- ONLINE

Breaking

TANGAZO

TANGAZO
Sugar free

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, November 4, 2017

TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA MAPUMZIKONI CHATO MKOANI GEITA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha kwenye simu pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli (katikati) pamoja na mdogo wake Monica wa kwanza (kushoto). Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia picha kwenye simu aliyokuwa akioneshwa na Mama yake mzazi Mama Suzana Magufuli nyumbani kwao katika kijiji cha Lubambangwe Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza radio pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wa pili kutoka (kushoto) mdogo wake Monica wa kwanza (kushoto), na Dada yake Asteria wa kwanza (kulia). Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza radio pamoja na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wa pili kutoka (kushoto) mdogo wake Monica wa kwanza kushoto. Rais Dkt. Magufuli yupo mapumzikoni katika Kijiji cha Lubambangwe Chato Mkoani Geita. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here