Ndege ya Shirika la Coastal Aviation imeanguka na inasadikiwa watu 11 wamefariki dunia akiwemo rubani mmoja.
Ndege hiyo imegonga mlima huko Empakai Ngorongoro ikielekea Serengeti.
"Watu wote katika hiyo ndege wamefariki dunia miili kumi ya marehemu imepatikana na mwili wa rubani haujapatikana mpaka sasa",kimeeleza chanzo cha habari.
Hii ni ndege ya pili kwa kampuni hiyo kuanguka ndani kipindi cha miezi miwili.
Ndege ya kwanza aina ya Cessna Grand Caravan 5-THR, ilianguka Oktoba 25 2017.
Haya ni majina ya watu wanaodaiwa kuwa walikuwa ndani ya ndege hiyo
No comments:
Post a Comment