HIZI HAPA PICHA 12 MELI YENYE HOSPITALI ILIVYOTIA NANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM - WINGU LA HABARI- ONLINE

Breaking

TANGAZO

TANGAZO
Sugar free

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, November 19, 2017

HIZI HAPA PICHA 12 MELI YENYE HOSPITALI ILIVYOTIA NANGA BANDARI YA DAR ES SALAAM




Ambapo Rc makonda ametoa wito kwa wakazi wote wanaoishi Dar es salaam kuanza kujitokeza kwa wingi kuanzia siku ya kesho ili waweze kupewa huduma ya vipimo pamoja na matibabu bure hasa kwa wale wenye matatizo mbalimbali.
Aidha ameongeza kuwa anaushukuru ubalozi wa china hasa kwa kitendo cha wao kuruhusu meli hiyo itoe huduma katika nchi ya Tanzania hususan Dar es salaam kwan hiyo inaonyesha kuwa nchi ya china inaunga mkono hasa katika jitihada za Rais Maguful Za Kumtetea Mtanzania Wa Kipato Cha Chini Na Kuhakikisha Kuwa Wanapata Huduma Zote Muhimu.

Meli hiyo ambayo imepokelewa siku ya leo imekuja na madaktar pamoja na wahudumu wapatao zaid ya 381,huku madaktari 30 kati yao siku ya leo tayar wamekwisha fanya ziara ya kuitembelea hospital ya Muhimbili,Amana,Mwananyamala Pamoja Na Hospital Ya Temeke Kwa Ajil Ya Kukagua Vifaa Ambayo Vitakuwa Vimepoteza Umakini Wake Wa Kutoa Huduma Na Kabla Ya Kuondoka Watakabidhi Msaada Wa Vifaa Mbali Mbali Kwa Ajil Ya Hospital Hizo Amesema Rc Makonda.















No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here