Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania TRL, Masanja Kungu Kadogosa akizungumza na wandishi wa habari katika kituo cha Pugu Station jijini Dar es Salaam
Mvuke ukiwa unatoka kwenye injini ya treni
Eneo la mbele kwenye injini ya mvuke
baadhi ya wasafiri wakuelekea mikoani wakiwawanasubiri trein katika kituo cha Pugu station(Picha zote na blog hii)
WINGU LA HABARI
Ili kuwaenzi wahenga waliotoa michango yao katika ujenzi wa Taifa hatimaye leo Kampuni ya Reli Tanzania imefanya uzinduzi wa ufufuaji wa Injini ya Treni inayotumia mvuke.
Mvuke ukiwa unatoka kwenye injini ya treni
Eneo la mbele kwenye injini ya mvuke
baadhi ya wasafiri wakuelekea mikoani wakiwawanasubiri trein katika kituo cha Pugu station(Picha zote na blog hii)
WINGU LA HABARI
Ili kuwaenzi wahenga waliotoa michango yao katika ujenzi wa Taifa hatimaye leo Kampuni ya Reli Tanzania imefanya uzinduzi wa ufufuaji wa Injini ya Treni inayotumia mvuke.
Akizungumza katika Uzinduzi huo wa Injini ya Trein inayotumia Mvuke Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania TRL,Masanja Kungu Kadogosa amesema injini ya aina hiyo ilikuwepo kwenye nchi za afrika mashariki na kati lakini lakini hivi sasa hazipo kwenye nchi hizo isipokuwa Tanzania pekee.
Amesema Tanzania imepata bahati ya kuwa na injini hiyo inayotumia mvuke kujiendesha tangu mwaka 1954 ambapo teknolojia hiyo haikuweza kuendelea kutokana na kuanza kuingia kwa teknolojia mpya ya injini za mafuta ya dizeli.
Kwa upande wake Naibu Kaimu Mkurugenzi wa uendeshaji wa Kampuni ya Reli Tanzania Focus Makoye Sahani amesema wametumia fedha za kitanzania takriban Mil 17.14 katika kuhakikisha wanafanikisha uwashaji wa injini hiyo ya mvuke.
"Hivi sasa Tanzania tumebakia na injini moja tu ambayo inatumia nguvu ya mvuke japokuwa katika iaka ya 1960 zilikuwapo injini zaid ya 40"amesema Mkurugenzi Kadogosa
Injini hiyo ya SUK pamoja na nyingine nyingi zilizokuwa na majina ya makabila ya Chaga SUK zilifanya kazi miaka ya 30 kuanzia mwaka 1954 hadi 1984
Hata hivyo amesema injini kama hiyo ziliingia mwaka 1954 na kampuni moja ya nchini Uingereza "North British Locomotive Glassgow LTD'ambayo ilianza kazi ya usafirishaji hapa nchini mwishoni mwa mwaka huo kati ya Tanga na Moshi.
No comments:
Post a Comment